Tunauza maziwa ya mbuzi yalio katika kiwango cha kwanza (GRADE ONE ) Hayajachakachuliwa.
Faida Ya Maziwa ya Mbuzi:
Tutumie Maziwa Ya Mbuzi kwa Afya Bora, Yetu na ya Vizazi vyetu.
Mawasiliano Yetu
Angalizo:
Baada ya tafiti kufanywa na madaktari hapa Tanzania na Duniani Kote na kuthibitisha faida tajwa hapo juu za maziwa ya mbuzi, Kumeibuka watu wengi wanaojitangaza kua wana maziwa haya. Tuwemakini, nivizuri ukafika hadi kwenye shamba husika ukajionea mwenyewe mbuzi wakikamuliwa.
Faida Ya Maziwa ya Mbuzi:
- Maziwa haya yana virutubisho vya kutosha zaida ya maziwa yeyote yale
- Maziwa ya mbuzi ni tiba ya maradhi sugu ikiwemo PUMU (Asthma), Vidonda vya tumbo (Ulcers), Shinikizo la Damu (Pressure), Kisukari, CD4 count problem kwa wale wanaoishi na Virusi vya Ukimwi, na mengineyo mengi.
- Maziwa haya yana ladha nzuri tofauti na vile watu wanavyohisi ( Hayana harufu ya mbuzi ). Hivyo ni mazuri kwa matumizi ya chakula.
- Pia tukumbuke mitume na manabii walikua wakitumia maziwa haya kwa faida mbali mbali.
- Pia nchi za wenzetu huko bara la ulaya upendelea sana kutumia maziwa ya mbuzi (Goat milk ) Kuliko maziwa ya ng'ombe. Kwani kuachana na faida tajwa hapo juu maziwa haya yanakiwango kidogo cha mafuta ( Cholesterol).
Tutumie Maziwa Ya Mbuzi kwa Afya Bora, Yetu na ya Vizazi vyetu.
Mawasiliano Yetu
- Tunapatikana Kawe-Dar es Salaam
- Mawasiliano Yetu ni 0712042433, 0683996898, 0712231233, 0718325762.